Wednesday, April 20, 2016

Anonymous

MSIBA: Msanii Bongo Muvi Afariki Akijifungua... Mama wa Marehemu Afunguka Mazito!

Stori: Imelda Mtema  
DAR ES SALAAM: Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam.

  • Filamu alizowahi kucheza?
  • Aishiwa nguvu wakati wa kujifungua.
  • Abainika kutokuwa na damu ya kutosha.
  • Madaktari washindwa kumfanyia upasuaji
  • Bahati nzuri ajifungua salama.
  • Apatwa balaa lingine baada ya kujifungua, afariki dunia.
  • Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye.
  • Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana!
“Inauma sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance, kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena, kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa machozi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina!
KUSOMA HABARI HII KWA KINA ZAIDI, JIPATIE NAKALA YAKO YA RISASI MCHANGANYIKO, APRIL 20, 2014

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.