Hivi kwanini Diamond Platnumz ametusua katika tasnia ya muziki? unaweza ukajiuliza nini haswa kipo nyuma yake ? bila shaka kila mmoja anaweza kueleza analolifahamu kuhusu nyota huyo.
Naimani maendeleo ya Diamond Plutnumz kwenye ramani ya muziki yamechangiwa na vitu hivi viwili ambavyo ni Uongozi thabiti alionao halikadhalika jitihada zake mwenyewe za kutamani kufika mbali zaidi.
Staa mwingine wa muziki kutokea ngoma ya Blue blue,Mapozi,Tabasamu hadi Pesa huyu fundi mwingine ukijaribu kumshirikisha lazima ujipange anaitwa Herry Samir maarufu kama Mr Blue Byser ame ameweka wazi mipango yake ya muda mrefu.
NI KWELI HAKUWA NA UONGOZI
Kupitia XXL ya Clouds FM amethibitisha kuwa amepata uongozi mpya ambao ni wa Tanzania wanao ishi Afrika Kusini na kuna Ngoma kali atafanya na msanii mkubwa Barani Afrika ambae kwa sasa ana fanya vizuri lakini hakumuweka wazi kuwa ni nani.
“Ngoma zilizopo nitazitoa kama kawaida lakini kuna ngoma na msanii anae fanya vizuri kwa sasa simtaji ikifika muda ndio ataonekana” maneno ya Mr Blue
Mtembezi.com inamtakia Blue na wasanii wote kheri katika harakati zao.

Note: Only a member of this blog may post a comment.