Kimenuka Instagram! FAIZA wa Mh. SUGU Awaporomoshea Matusi Team WEMA SEPETU!
Mrembo wenye Vituko vya kila leo Faiza Ally ameamua kuwafungukia team Wema Sepetu kwa Kuandika Haya:
Faizaally_ Team Wema wengi wapumbavu - mimi siwezi kupenda kuwa
na team za kipumbavu ! Pumbavu zenu wote ....... Mnaponda watu bila
mnazalilisha huyo Malkia wenu nae anaonekana Kama nyinyi ! Kweli mshamba
mshamba - mshamba belongs uswahilini bora mngekuwaga hata mna point
basi #ujinga mtupu..... Hivi account za kina Malkia Malkia wote wajinga
sijui wanatafuta followers kutumia picha za Wema ? But i swear to god
nisinge penda kuwa na stupid team at all - Ndio Maana mnafanya
anatukanwa - mmeanza kuchokonoa matako ya zari sasa mwisho wameanza na
watu kuchunguza yake and u know why ? Because of the stupid team that
she has - Kama mm ningewaambia yoyote ana taka kuwa team yangu awe na
adabu za kuheshimu wengine Na maisha Yao ! Na yoyote mwenye account ya
kutukana watu asitumie picha zangu ! And there for kidogo ange kuwa hata
na watu wa manna kabisa hata wa kumwambia ya Maana zaidi ya Hawa
wajinga wa Insta wanao jiita team Wema ......
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.