Mangekimambi_ Sawa nakuwa
mpumbavu kwenye swala la Wema Ila kumbuka hata wakati nakupigania wewe
niliitwa mpumbavu vile vile.Nilitukanwa kona zote kwanini namtetea
mwanamke anaevaa pampers na kutembea matako Wazi. Ila sikujali niliacha
waniite mpumbavu Kwa ajili yako Na huku sikujui hata kukuona sikuwahi
Ila Kwa sababu niliamini in my heart unaonewa niliacha waniite mpumbavu.
Leo Na wewe unaniita mpumbavu sababu namtetea Wema Kwa kitu ambacho
hata wewe unajua sio sawa? Na ukisoma sijamtetea nimekurekebisha tu kuwa
hujakosea ni sawa team Wema ni wapumbavu je kwanini huwasemi hizo team
zingine Kwa upumbavu huu? Umemsema Wema hawakanyi team yake je Mbona
hujamsema Dai Au Zari kwanini hawakanyi team zao?Lazma tuwe watu wa
haki. Hizi team zoooote ni ushuzi mtupu Na ni majipu. Sasa unapochagua
team ya kutupia lawama unakosea..
Mimi mpumbavu inapokuja issue ya Wema Ila nadhani nilionekana mpumbavu Mara Mia wakati nakutetea wewe na sikujali so kaa ukijua huwa sijalimatusi, nishatukanwa matusi kibaooooooo Sasa wamebaki wanayarudia tu! As long as I feel Mtu anaonewa Hata Kama ni Malaya wa jollies ntamtetea tu.
After all Wema has been through as a woman Na wewe Kweli unaona huu ni mida wa kumu-attack? Wanawake walivyokupigania kipindi kile ushasahau?Au mpaka Mtu awe single mother ndo unaona anafaa kupewa support?
Alafu muache kujiliza ovyo na huo usingle mother wenu. Utadhani mlibakwa jamani..... Seriously sawa Wanaume Wanakosea kuwatupieni Watoto Ila duh mmezidi kulalamika jamani! Yani Sasa Hivi nikisikia neno single-mother I just roll my eyes like 🙄🙄
PS- sijaweka Picha hizi ili utukanwe nimeweka ili tu nikukumbushe kuwa Mimi naweza kumtetea mtu Hata Kama akionekana hana thamani duniani. As long as I believe rights zake zimekuwa violated Au uonevu umezidi... I don't mind your dressing at all Ila usiite Mtu mpumbavu eti Kisa kumtetea mwanamke anae onewa , jikumbuke wewe ulivyoitwa mpumbavu , malaya, mshenzi, mama mbaya majina yote waliyamaliza and still watu tulikupigania.
Although umeniita mpumbavu wala sitokutukuna au kukuita mpumbavu pia. Yawezekana nikawa mpumbavu Kweli ikija Kwa wanawake kama Faiza Ally na Wema Sepetu! Nakuwa sioni siambiwi

Note: Only a member of this blog may post a comment.