Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’
Boniphace Ngumije
Staa wa Ngoma ya Angejua, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amewatolea uvivu watu wanaofuatilia maisha yake katika mitandao ya kijamii kuwa hakuna anayemsaidia kuyaendesha.
Staa wa Ngoma ya Angejua, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amewatolea uvivu watu wanaofuatilia maisha yake katika mitandao ya kijamii kuwa hakuna anayemsaidia kuyaendesha.
Akichonga na Showbiz, Dayna aliyewahi pia kubamba na ngoma kadhaa
kama vile Mafungu ya Nyanya alisema kuwa, suala la kuwa na skendo kwa
msanii ni jambo la kawaida hivyo anawashangaa wanaoendelea kumuandama
kila kukicha kutokana na skendo anazokumbana nazo.
“Huwa inanikera sana kuona watu wananiandama bila mpango wakati
hakuna anayenisaidia kuendesha maisha yangu, niachwe huru maana hata
hizo skendo wao haziwahusu,” alisema Dyna.

Note: Only a member of this blog may post a comment.