![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDWTpcGu0ghNszMs-uAMghRua5j5Zbw7oLh_XGdxZNwdb2xzXmqJf-UZGQYZtlylfoGjKKeY6_I9qfV36krgDn0ES7wwWsN-AN_vm-trCIvhx73dezD_JjTHYlCRPPtjXxtzqDxTZPw3g/s640/mbowe.gif)
Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais.
Watu waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso
Sasa Jana Rais kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha Tshs. milioni 9.5
Ni wakati wa Mbowe naye kutuambia hadharani Kiasi anachojilipa maana yeye ndie mlipaji. Ni shilingi ngapi kwa mwezi?
Pia kwakuwa niwakati wa uwazi na Mabadiliko ya ukweli
Atuambie pia malipo ya Makao makuu ya CDM pale ufipa iwe ni kwa mwaka au kwa mwezi ni shilingi ngapi
Note: Only a member of this blog may post a comment.