Tuesday, April 5, 2016

Anonymous

14 PICHAZ: Jiji la Dar Sasa Hali Tete... Wasanii Walioenda Kufanya Video na Mbunge SUGU Wavunjiwa Magari Yao na Kuibiwa Katika Maeneo Usiyoyatarajia


April 4 2016 Msanii wa HipHop Joseph Mbilinyi (Mr II Sugu) ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini aliwakutanisha mastaa wa bongofleva akiwemo Producer Master J, ni kwenye shooting ya video yake mpya ya Freedom inayofanywa na director Hanscana ndipo wezi walipovamia baadhi ya magari na kufanya wizi.

Location yenyewe kunakotengenezwa video hii ni nje kabisa ya jiji la Dar es salaam, panaitwa Ununio…. ni eneo ambalo huwezi kutegemea huo wizi kufanyika maana tulishazoea wizi kama huu unafanyika sehemu zenye watu wengi au pilika za hapa na pale zipo nyingi tofauti na Ununio.

Sio gari la Master J pekee lililovunjwa, yamevunjwa magari ya watu wengine pia waliokua wamekusanyika kwa ajili ya utengenezaji wa video hii.

Moja ya magari yaliyovunywa vioo na vitu vilivyokuwemo ndani kuibiwa.






Inadaiwa Wezi hao walikua na dawa maalum ambayo ukiipulizia kwenye kioo kina lainika na kuvunjwa bila kupiga kelele


Master J

Gari la Master J


Mbunge wa Mbeya MjiniMr II, Sugu

Master J

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.