Sunday, March 6, 2016

Anonymous

Video ya Tanzania Ilivyochukua tuzo za African Magic, Lagos Nigeria Usiku wa March 5 2016

Usiku wa March 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike kushinda Tuzo za African Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria. Hii ndio video ya Lulu na Single Mtambalike walivyotangazwa washinda na kuiweka Tanzania kwenye headlines.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.