Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

VIDEO: Kijana Mtanzania Aliyelamba Dili Nono Tigo Baada ya Kuwaonyesha Jinsi Mteja Anavyoweza Kuiona Simu Yake Hata Ikiibiwa.!

Anaitwa Godfrey Magila, yeye na vijana wenzake ambao hawajafikisha hata umri wa miaka 25 walipata wazo la kutengeneza App itakayomuwezesha Mteja yeyote wa kampuni ya simu ya Tigo kulinda kila kitu kilichomo kwenye simu yake hata ikiibiwa na anaweza kumuona aliyemuibia….. mtazame kwenye hii video hapa chini.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.