Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

Tarajia Kuuona Uwanja wa FC Barcelona Katika Muonekano Huu 2021 (+PICHAZ)

Klabu ya FC  Barcelona ya Hispania ambayo imezoeleka kutumia uwanja wake wa Nou Camp, March 9 imetoa picha za muonekano wa uwanja wao utakavyokuwa kwa miaka minne ijayo. FC Barcelona wametoa pichaz ramani ya ujenzi wa uwanja huo ambao utajengwa kwa thamani ya Pound milioni 465.
320216F000000578-3483182-Work_to-m-21_1457485185176
Mabingwa hao wa Ulaya wamethibitisha kuwa mchora ramani na mbunifu wa Kijapan Nikken Sekkei ndio ameshimda tenda ya kufanya ukarabati wa uwanja huo hadi utakapokamilika 2021, ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 105000.
3202172E00000578-0-image-a-3_1457483059471
320216D400000578-0-image-a-2_1457483053598

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.