Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

NAJ Kahojiwa na Soudy Brown, Ni Kweli Anatoka na Baraka da Prince..? U Heard (+Audio)

March 9 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amefanya mahojiano na Naj baada ya kusikia taarifa za kutoka kimapenzi na msanii mwenzake kutoka kiwanda cha bongofleva Baraka da Prince.
Taarifa hizo zimeanza baada ya Baraka da Prince kupost picha kwenye mtandao wake wa instagram, Soudy Brown amejibiwa na Naj hivi…’Ngoja nikwambie Soudy, Baraka ni mshikaji wangu wa karibu sana mimi hivyo vitu vingine vinavyoongelewa navichukulia poa tu‘>>>Naj
Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.