Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

Taarifa Kuhusiana na Baba wa Msanii Q CHILA Kutolewa Vitu Vya Ndani Nje…(U Heard +Audio)

U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM March 8 2016 leo inamuhusu Baba mzazi wa msanii kutoka kiwanda cha Bongoflevani Q Chila kutolewa vitu vya ndani nje ya nyumba yake, Soudy Brown amefanya interview na Manager wa Q Chila na stori ilikuwa hivi. 

Mimi nilipata taarifa juzi tu alafu hii taarifa ya kutolewa vitu nje imenishangaza sana wala sikutegeme iwe hivyo, Juzi Q Chila alinifata akaniambia mzee alishawahi kukopa hela huko nyuma na dhamana ilikuwa ni Nyumba nikwamwambia sawa na akaniambia swala sahivi limefika Mahakamani QS Muhonda
Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.