Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

Ratiba Ligi ya Mabingwa Ulaya Leo Machi 8, 2016

Michuano ya klabu bingwa Ulaya inaendelea leo Mach 8,2016 hatua ya 16 bora michezo mbali mbali itachezwa, Real Madird usiku wa leo wanaikaribisha AS Roma Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa marudianio.
31F577D000000578-0-image-a-4_1457375504054
Mchezo mwingine wa Ligi ya Mabingwa leo ni kati ya VfL Wolfsburg watakaokuwa wenyeji wa KAA Gent Uwanja wa Volkswagen. Mchezo wa kwanza, Wolfsburg ilishInda 3-2 ugenini.
Ratiba ya leo hii Mach 8,2016
Real Madrid Vs Roma
VfL Wolfsburg Vs KAA Gent

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.