Thursday, March 17, 2016

Anonymous

PART 1: Mfungwa Mtanzania Aongea Kwa Simu Kutoka Gerezani China

March 16 Apmlifaya ya Clouds FM ilipata nafasi ya kuzungumza kwa simu na mfungwa mtanzania aliyefungwa gereza moja na Jack Cliff, jamaa jina lake halijawekwa wazi ila amefungwa gerezani hapo toka mwaka 2007 kwa kosa la kukamatwa na dawa za kulevya.
“Mimi nilikamatwa na madawa ya kulevya tulivamiwa katika hotel tukakutwa na madawa, nilikuhiwa natoka Dubai nakuja China, hivyo nilivyokuwa China ndio nikachukua hotel kupumzika, ili wenzangu waje wanisaidie kubeba madawa, sasa sijui taarifa askari walipata wapi wakaja kutukamata” >>> Mfungwa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.