Thursday, March 17, 2016

Anonymous

Agizo la Kwanza Alilolitoa Paul MAKONDA Kama Mkuu wa Mkoa Dar (+Video)


Jana March 15 2015 Rais John Pombe Magufuli aliwaapisha wakuu wapya wa mikoa 26 ya Tanzania bara na kuwaagiza kutekeleza wajibu wao bila kuwa na hofu yoyote kutoka kwa watu ikiwa ni pamoja na kuwashughulikia watendaji wote watakaoonekana kuwa wazembe kwenye sekta zao, leo Marh 16 2016 ndio mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa rasmi ofisi ili kuuongoza mkoa wake.

Licha ya hayo yote Makonda alipata time ya kufahamiana na baadhi ya watendaji katika ofisi yake, na hapohapo akatoa agizo la kuwataka wakuu wote wa idara kumfikishia ripoti zao ikiwa ni pamoja na changamoto zinazowakabili ndani ya saa 24.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.