Wednesday, March 9, 2016

Anonymous

Ni kweli Kimbunga Mchawi Ana Beef na Nay wa Mitego? 255 (+Audio)

Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani millardayo.com imekurekodia 255 ya Clouds FM ya March 9 zile story zote ambazo zimepata airtime utapata kuzisikiliza hapa
Kimbunga mchawi ameongelea sababu ya yeye kumjibu Ney wa Mitego nyimbo zake je wana beef au?  ‘Inategemea labda Nay anazingua sana mimi huwa napenda kuwa real kwenye muziki wangu na muziki wangu uko kwenye ukweli nikiona kitu hakiko sahihi huwa tunafanya ukweli alafu Nay sio mshikaji wangu‘…>>>Kimbunga Mchawi 
Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.