Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

Kama Utanipenda Yamfikisha DARASSA Trace TV Kwa Mara ya Kwanza

Video kuchezwa MTV Base au Trace TV bado sio kitu cha kuchukulia poa hasa kama wewe ni msanii wa Tanzania.
927798_1527234347605208_2042310457_n
Darassa amefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa na video inayochezwa kwenye kituo cha runinga cha Trace Urban. Video ya wimbo wake ‘Kama Utanipenda’ akiwa na Rich Mavoko inachezwa kwenye kituo hicho.
12822573_1570053519951677_525239100_n (1)
Hanscana aliyeongoza video hiyo, amepost picha Instagram inayoonesha video hiyo ikichezwa na kuandika, “s/o to @tracenigeria to premiere #kamautanipenda kwa upande wa tv za kimataifa thank you so much @tracenigeria . Na ntazidi kukaza mpaka mwisho tutakutana tu huko huko . @darassacmg ft @richmavoko #kama_utanipenda #kamautanipenda.”
Trace ni miongoni mwa vituo vya TV za Afrika vinavyooheshimika zaidi.
-via Bongo5

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.