Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

VIDEO: Bondia Thomas MASHALI Apigwa KO na Mrusi, Apti Ustarkhanov

Bondia wa Tanzania, Thomas Mashali amepigwa kwa knock out kwenye raundi ya pili na bondia wa Urusi, Apti Ustarkhanov aka The Tiger.
Pambano hilo lililohudhuriwa na umati mkubwa wa watu lilifanyika wikiendi iliyoisha nchini Urusi. Lilikuwa ni pambano la ubingwa uzito wa kati wa mabara.
Lilifanyika Colosseum Sport Hall, mjini Grozny, Urusi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.