Meninah kapotea kama embe la msimu. Yuko wapi? Well, kwa
sasa cheo chake kimebadilika. Ni mke wa mtu aka Mrs Abdulkareem na pia
ni CEO.
Baada tu ya kuolewa, muimbaji huyo wa kundi la Shosteez, alifungua
kampuni iitwayo Meninah Investment ambayo kwa anachokiandika, mambo
yanaonekana kuwa yanamwendea fresh.
“I don’t give anyone a reason to hate me. They create their own drama
out of pure jealousy…….musclemoney weekmuscleyoung and ambitious I
choose what makes me happy just leaving uncomplicated,” ameandika kwenye
picha hiyo juu.
Kwenye picha nyingine akiwa ofisini kwake, Meninah ameandika: Work work work C.E.O always incharge……..”
“At office cooperate look for my cooperative clients my company my business my dollars,” aliandika kwenye picha nyingine.
Note: Only a member of this blog may post a comment.