Kipa wa klbau ya Southampton Fraser Forster ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu Uingereza.
Muingereza huyo ambaye alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na
majeruhi na kurudi Januari na kuichezea klabu yake mechi sita bila
kufungwa, mechi dhidi ya Arsenal, West Ham na Swansea, na kujinyakulia
alama saba Februari.
Forster alikuwa mlinda pekee kutofungwa mechi sita, amewashinda
washambuliaji Harry Kane na Jamie Vardy, viungo Willian na Christian
Erikse na mlinda mlango Robert Huth katika tuzo hiyo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.