Alikiba akikata keki na birthday girl, Amaya
Katika kuhakikisha kuwa wanae wanakuwa na furaha, muimbaji huyo wa ‘Nagharamia’, alimwangushia birthday ya nguvu mwanae wa kike, Amaya Ally Kiba.
Amaya (Kulia) akiwa na watoto wenzie
Sherehe hiyo iliyofana ilihudhuriwa na ndugu wote wa karibu wakiwemo mama yake, kaka zake na dada yake Zabibu. Mama wa mtoto huyo pia alikuwepo.
Family First: Alikiba akiwa na mama yake, na wadogo zake
Check picha zao sherehe hiyo hapo chini.
Note: Only a member of this blog may post a comment.