Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, February 22, 2016
Anonymous
Wabunge wa Marekani Washusha Maombi Kumuombea Rais MAGUFULI Afanye Kazi yake Vizuri
Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wakimuombea Rais Magufuli, ili aweze kufanya kazi zake vizuri walipotembelea ofisi za Spika wa Bunge kwa mazungumzo mafupi jana. Rais Magufuli siku zote amekuwa akisisitiza na kuomba wananchi wamuombee. Neno moja tu kwa wabunge hawa wamarekani
Note: Only a member of this blog may post a comment.