Klabu ya Dar Es Salaam Young African February 27 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ilicheza mchezo wake wa pili wa marudiano wa michezo ya klabu Bingwa barani Afrika dhidi ya klabu ya Cercle de Joachim ya Mauritius. Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli yalifungwa na Amissi Tambwe na Thabani Kamusoko. Video ya magoli nimekusogezea hapa
Sunday, February 28, 2016
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
SPORTS AND ENTERTAINMENTS,
VIDEO
on Sunday, February 28, 2016

Note: Only a member of this blog may post a comment.