Tuesday, February 23, 2016

Anonymous

VIDEO: Balaa la Madereva Kuchomokeana au Kutukanwa Barabarani Inakera Ila Hasira Zako Zisifikie za Hawa

Kila siku Madereva huwa wanakutana na visa vya kukasirisha barabarani ila hii video hapa chini inatuambia, Dereva yeyote mtu akikuchomekea au kukuzingua barabarani inabidi uachane nae na uendelee na safari yako, kushuka na kuanza kumtishia kunaweza kuwafikisha pabaya.
 Hii video hapa chini ni ya tukio la kweli kabisa, Jamaa kwenye gari dogo walimtukana Dereva wa lori wakadhani hatoweza kuwafanya chochote….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.