Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Ligi ya Mpira
wa kikapu ya vijana (Junior NBA), jana jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali, jana jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na wadau mbalimbali wa mpira wa kikapu (NBA)
juu ya timu bora nane kutoka kila kundi zitakazofuzu kushiriki kweye
ngazi ya mitoano Oktoba 2016. Timu bora mbili kutoka kila kundi
zitakutana kwenye michezo kuwania ubingwa ili kumpata bingwa wa kwanza
wa ligi ya mpira wa kikapu kwa vijana, katika uzinduzi wa Ligi ya Mpira
wa kikapu ya vijana, jana jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu DK. Jakaya Mrisho
Kikwete akiteta jambo na Mchezaji Mwandamizi wa (WNBA) Allison Feaster,
jana jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya mashabiki wa mpira wa
kikapu waliofika katika uzinduzi wa Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana,
jana jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)

Note: Only a member of this blog may post a comment.