Sunday, February 28, 2016

Anonymous

Nyota ya Mbwana SAMATTA Yaanza Kung'aaa Ubelgiji Aipatia Timu yake Goli la Ushindi Leo Hii

Nyota ya Samatta imeanza kuonekana Baada ya leo kuipatia timu yake ya Genk bao lililowapa ushindi dhidi ya timu ya Brugge, Akiingia kutoka Benchi Dakika ya 77 wakati matokeo yakiwa mbili kwa mbili dakika ya 81 Mbwana Sammatta alipachika bao la Tatu kwa Genk ambapo matokeo yalibaki hivyo mpaka mpira unaisha dakika ya Tisini Genk 3 Brugger 2, Brugge ndio timu inayoongoza ligi hiyo kwa sasa.
Tazama video ya goli hilo hapa chini;

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.