Monday, February 22, 2016

Anonymous

MAGUFULI Atinga Kivukoni kwa Kushtukiza, Akuta Ofisi Zipo

Rais mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh ndg Dr. John Pombe Magufuli kavamia hivi punde katika ofisi za vivuko Magogoni na kukuta ofisi zote zipo wazi hazina watu zaidi ya baharia mmoja tu aliyekutwa akifanya usafi na kuhojiwa.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa.
***Mwaka huu ni kazi tu ***

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.