Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, February 19, 2016
Anonymous
Kutana na Mwanafunzi Mchina Aliyeshika Nafasi ya Pili Matoke ya Kidato cha Nne Yaliyotoka Jana
Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne Feza Girls 2015 , Mtanzania mwenye asili ya China, Congcong Wang, ameshika Nafasi ya pili Kitaifa,amepata Divisheni 1 ya pointi 7 yenye 'B' ya Kiswahili! Nini maoni yako juu ya hii?
Note: Only a member of this blog may post a comment.