Saturday, February 27, 2016

Anonymous

Kauli Mbili za ZITTO KABWE Kuhusu Mali na Madeni ya Viongozi..Amtaka Rais Aamuru Ziwekwe Kwenye Mtandao Kila Mtu Aone!

Zitto Amefunguka Haya hapa chini kwenye ukurasa wake wa Facebook:
"Rais Magufuli aagize Mali na Madeni ya Viongozi yawekwe wazi kweny tovuti ya Tume ya Maadili ya Viongozi ( sheria irekebishwe kuzuia watu wanaoona matamko kuziweka wazi, bila uwazi ni vigumu kupambana na rushwa)"

"Taarifa kwamba kuna Mawaziri ambao hawakujaza fomu za Maadili au kuficha mali zao katika tangazo la Mali na Madeni ni jaribio kubwa kwa Rais Magufuli kuhusu dhamira yake ya kupambana dhidi ya Ufisadi. Sheria ya Maadili ya sasa, licha ya udhaifu wake, ikitekelezwa ( enforced) ni silaha bora ya kuweka misingi ya Maadili katika Uongozi wa Umma" Zitto Kabwe

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.