Saturday, February 27, 2016

Anonymous

Dogo JANJA Kumshitaki Msichana Aliyemrekodi Kwenye Mazungumzo yao Wakati Amkimtongoza!

Msanii wa bongo fleva ambaye ameachia wimbo wake mpya wa My Life,dogo Janja amesema kuwa tayari ameshakuchukua RB polisi kwa ajili ya msichana aliyerekodi mazungumzo yao ya siri na kuyavujisha mtandaoni.

Dogo Janja aliyasema hayo kwenye moja ya mahojiano yake wakati anaachia wimbo wake mpya na kueleza ni jinsi gani msichana huyo alivyompa wakati mgumu.
“baada ya kusikia ile voice note akili yangu ili stuck,zikawa zinaingia simu nyingi hasa za nyumbani wakinilaumu,nikajaribu kumcheki yule msichana akani block mpaka sasa kani block ila nina RB yake” alifunguka dogo janja.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.