Wednesday, January 13, 2016

Anonymous

Ubinadamu Kwanza: Waziri Mkuu MAJALIWA Naye Amtembelea Mzee SUMAYE Hospitali!

Magazeti ya January 12 2016 mengi yalibebwa na stori kuhusu ziara ya Rais Magufuli kwenda kimyakimya Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Mzee Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu.

Hiyo ilikuwa ni safari ambayo hata Mzee Sumaye mwenyewe hakujua, kashtukizwa tu na ujio wa Rais… picha zimenifikia pia zikimuonesha Waziri Mkuu Majaliwa akiwa hospitali alikolazwa Mzee Sumaye.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.