MSANII wa Bongo movies Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amesema
katika kipindi hiki cha kasi ya Rais John Magufuli, hana muda wa
kuhangaika na mapenzi, badala yake yeye atachapa kazi tu.

Akizu
ngumza na gazeti hili, msanii huyo alisema kumekuwa na wimbi kubwa la
wezi wa mapenzi wanaotumia fedha, lakini kwake ni bora ajibidishe
kivyake ili apate chake halali.
“Mimi naona kabisa hapa Bongo hakuna
mapenzi, kuna usanii tu, kila mmoja anajidai yupo kwenye mapenzi kumbe
utalii, ninachojua mimi hapa ni kazi tu mapenzi nchi za watu,” alisema.
Note: Only a member of this blog may post a comment.