November 9 2015 Rais Magufuli alifanya ziara ya
ghafla ya kwenye hospitali ya taifa Muhimbili na kukuta Wagonjwa
wanalala chini pia mashine nyingine hazifanyi kazi kama inavyotakiwa,
siku chache baadae akaamua zile milioni zaidi ya 200 zilizokua zitumike
kwenye sherehe ya kulikaribisha bunge la 11, zikatumike kununulia vifaa
hospitali ya Muhimbili.
Leo December 7 2015 Mkuu wa idara ya tiba na mionzi Muhimbili Flora Lwakatare
ametuonyesha mashine mpya iliyopatikana ambayo gharama yake ni zaidi ya
shilingi milioni 200 za Kitanzania, bonyeza hii video hapa chini
kutazama.

Note: Only a member of this blog may post a comment.