Saturday, December 5, 2015

Anonymous

Unayakumbuka Makubwa Manne ya Rais MAGUFULI Siku Alivyoapishwa? Haya Hapa (+Audio)

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani, Dk. John Pombe Magufuli alitangazwa kuwa Rais wa awamu ya tano siku ya October 29 2015 ambapo siku hiyohiyo ilikuwa ni birthday yake.
Headlines zake zikaendelea na uzito wa nguvu kabisa, November 05 2015 alikula kiapo na kuanza kazi yake huku akipokea jahazi kutoka mikononi mwa Mzee Jakaya Kikwete.
JPM1
Najua yamepita mengi hapo katikati lakini nimeona nikukumbushie na hotuba yake ya kwanza kabisa siku alivyoapishwa, kuna haya matano aliyasema siku hiyohiyo>>> vyama vya upinzani? heshima yake kwa Mzee Mkapa, JK? nidhamu na kazi? Uchaguzi 2015?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.