Sunday, December 6, 2015

Anonymous

NI ZITTO KABWE TENA, AIBUA ‘UOZO’ HUU TRA NA SERIKALINI

KIONGOZI wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini,Zitto Kabwe amefichua upotevu wa fedha za watanzania zaidi ya bilioni 900 kwa mwaka huu wa pesa ambazo zimesababishwa na kutokusanywa vizuri kwa mapato ya kodi.

Mbunge huyo machachari si tu bungeni hadi nnje ya bunge amesema kuwa asilimia 15 ya pesa hizo zilizopotea ndani ya mwaka huu wa fedha zinatokana na uzembe huo.

Tazama alichokipost katika ukurasa wake hapa:

Zitto Kabwe Ruyagwa @zittokabwe
Our research shows tshs 900 billions were lost in one financial year, 15% of the potential customs revenues

8:37 AM - 6 Dec 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.