Sunday, December 6, 2015

Anonymous

HAPA KAZI TU: HIVI NDIVYO AGIZO LA RAIS MAGUFULI LINAVYOZINGATIWA

WAKATI zikiwa zimesalia siku 3 ili agizo la Mhe Rais la kusafisha maeneo yanayotuzunguka ili kupunguza kasi ya maambukizi na kuenea kwa kuambukiza kama kipindupindu na mengineyi ya mlipuko,baadhi ya halimashauri zimeanza kuwasisitizia maafisa wake juu ya agizo hilo.
 
Halmashauri ya Kinondoni imefanikisha jambo hilo,ambapo ‘imewalima’ barua maofisa wake wote juu ya kuzingatia siku hiyo ambayo pia itakuwa ni siku ya kusherekea Uhuru wa Tanzania
-via mtembezi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.