Staa wa kitambo kwenye bongofleva ambaye kwa sasa ni Muheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mikumi Morogoro Tanzania Profesa Jay
ameanza kuvisogeza vichwa vya habari karibu yake baada ya kuanza
kuwafanyia kazi Wananchi wake ikiwa ni ndani ya siku 40 toka kura
zipigwe na kumpa ushindi wa jimbo hilo, bonyeza play kwenye hii video hapa chini uone na ujue zaidi.

Note: Only a member of this blog may post a comment.