Wednesday, November 4, 2015

Anonymous

VIDEO: Rais JK Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif - Ikulu ya Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna tofauti za kisiasa kisiwani Zanzibar baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika .
Tazama video hiyo hapa...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.