FAIZA Ally ambaye ni
mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefunguka kuwa
mwanaye Sasha ndiyo kila kitu kiasi cha kumkatisha usingizi wake kila
siku.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii
hivi karibuni, alisema kutokana na mapenzi yake kwa mwanaye, kila siku
anajikuta akiamka usiku mnene na kumuangalia mwanaye kwa muda mrefu
kisha kumbusu na kulala tena.
“Huwa naamka usiku wa manane na kumbusu
mtoto wangu na hiyo imeshanikaa, kila siku mpaka hata watu ninaoishi nao
wananishangaa sana,” alisema Faiza.
Note: Only a member of this blog may post a comment.