Thursday, November 5, 2015

Anonymous

PICHAZ: Taswira Toka Uwanja wa Uhuru Katika Sherehe za Kuapishwa Dr MAGUFULI Asuuhi Hii..


Leo Rais mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli anaapishwa rasmi ambapo asubuhi hii viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili uwanja wa uhuru kushuhudia sherehe hizi.
Watu ni wengi sana, mvua nayo inanyesha kuonyesha ni tukio lenye baraka

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.