Friday, November 6, 2015

Anonymous

Nchi Ina Wanafiki Sana wa Kisiasa...UKAWA Wamsusia MAGUFULI Uwanja wa Taifa ila Bungeni Wamejiandikisha Kwenda Kumsikiliza Kwa Sababu Kuna Posho-Habibu Mchange

Mwanasiasa Habibu Mchange Ameandika yafutayo katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu Ukawa:
'Nchi ina WANAFIKI SANA WA KISIASA HII..
Ukawa wamesusia kuapishwa Rais lakini UKAWA HAO HAO wameenda Bungeni kujiandikisha kama watahudhuria hotuba ya Rais BUNGENI na wamelipwa posho inayoendana na shughuli hiyo. sasa hii ndio kusema Baniani Mbaya kiatu chake Dawa ama? Au kwa kuwa Uwanja wa Taifa hakukuwa na POSHO?.. kungekuwa na POSHO kama kawa asingesusa mtu?...ukiamua kususa unasusa jumla sio nusu nusu. Utapeli wa kisiasa wa namna hii haufai..wangesusia vyote! 
By Habibu Mchange

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.