Sunday, November 8, 2015

Anonymous

Nani Unahisi Atakuwa Waziri Mkuu wa Tanzania 2015-2020?

 Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rais mteule wa awamu ya tano, nani unahisi atateuliwa na mheshimiwa John Pombe Magufuli kuwa Waziri Mkuu? 
Tupe jina la unayeona anafaa hapo chini kwenye comment box tafadhali

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.