Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Sunday, November 8, 2015
Anonymous
DK MAGUFULI, Kama Kweli Unapinga Ufisadi Mteue David KAFULILA Kuwa Mbunge
Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya rais. Naomba sana umteue Kafulila kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.