Kiumbe hicho kilikuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa kijiji hicho na maeneo ya jirani ambao walisafiri hadi kijijini hapo kwenda kushuhudia.
Diwani mteule wa kata ya Goweko Shaban Katalambula alisema kiumbe kilichozaliwa kinafanana na Mbweha ambacho kilizaliwa na baada ya muda kidogo kilifariki.
Kwa upande wa mkunga aliyemzalisha mwanamke huyo Hobokela Mwasisya alisema kiumbe hicho cha ajabukilizaliwa juzi saa 3 na kufariki muda mchache baadaye. Alisema mwanamke huyo ambaye ni uzao wake wa tano alienda katika zahanati hiyo akilalamika kuumwa tumbo lakini wakati wa kujifungua hakutokwa damu jambo

Note: Only a member of this blog may post a comment.