Wednesday, November 4, 2015

Anonymous

Mwanachama wa CCM Awajeruhi Kwa Panga na Shoka Wanachama Wawili wa CUF


Jeshi la Polisi mkoani Tanga limemtia mbaroni mwanachama wa chama cha mapinduzi Jullius Joseph kufuatia kuwajeruhi vibaya wafuasi wawili wa chama cha wananchi CUF kwa kuwakata kwa kutumia shoka na panga na kuwajeruhi vibaya ambapo hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga ya Bombo kwa ajili ya matibabu.
Chanzo ITV

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.