Richard Bukos
Mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja
aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu, hivi karibuni alifanya mambo ya aibu
ikiwemo kuvua nguo na kukata mauno mbele za wasichana.
Baba huyo akisakata rumba.
Tukio hilo lilijiri ndani ya Ukumbi wa Highway Night Park uliopo
Ukonga jijini Dar wakati Bendi ya Mashujaa Musica ilipokuwa ikiporomosha
burudani.Awali, mwanaume huyo ambaye ilidaiwa siku nyingine katika
kiwanja hicho akiwa na ‘my wife’ wake alianza kupandwa na midadi
kufuatia muziki uliokuwa ukipigwa, ikafika wakati akaamua kulivamia
jukwaa na kuanza kuvua tisheti.

Note: Only a member of this blog may post a comment.