Ndege aina ya ‘Boeing 737′.
Wakiwa kazini wakifanya yao.
Marubani hao wakishare furaha zao kupitia mitandao ya kijamii wa Facebook.
Wiki iliyopita shirika la ndege la Zimbabwe (Air Zimbabwe),
lilitengeneza historia mpya duniani kwa kuwa nchi ya kwanza kurusha
ndege iliyopo chini ya Uongozi wa Marubani wa kike pekee.
Makapteni wawili wa kike ambao ni Chipo M. Matimba na Elizabeth
Simbi Petros, waliruka na ndege aina ya ‘Boeing 737′ kutoka mji mkuu
wa nchi hiyo Harare mpaka katika maporomoko ya Victoria.
Baada ya kufanikiwa kutua salama, Marubani hao wakaamua ku ‘Share’ furaha zao kupitia mitandao ya kijamii.
Note: Only a member of this blog may post a comment.