Tangu aapishwe kushika madaraka kama raisi wa awamu ya tano, Raisi JP Magufuli amekuwa na kasi ya utendaji wa ajabu.
Amekuwa akifanya yale mambo yanayowagusa wananchi wa kawaida wa chini. Hili limemfanya kujijengea umaarufu mkubwa kwa wakati mfupi tu.
Sio siri mashabiki wa CCM na UKAWA kwa pamoja wamekiri kuwa huyu ndo raisi tulokuwa tukimhitaji. Mitaani, makazini, kwenye mikusanyiko habari ni Magufuli tu.
Amenoga ile mbaya! Kasi hii ya Magufuli Kiutendaji itasababisha kudhoofika kisha Kufutika kabisa kwa UKAWA kwani hata baadhi ya wana ukawa wanasema hakuna haja ya taifa letu kupoteza fedha kwa ajili ya uchaguzi 2020 Magufuli aendelee tu hadi 2025 ili ainyooshe nchi

Note: Only a member of this blog may post a comment.