Monday, November 9, 2015

Anonymous

HALI TETE: CUF WAZIDI KUIBANA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Kutoka kulia ni Mwakilishi Mteule wa Jimbo la Ole-Pemba, Hamad Massoud, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Serikali ya Zanzibar,Nassor Ahmed Mazrui na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa chama hicho, Abbakar Khamis Bakar.
Mmoja wa viongozi wa chama hicho akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano huo.


NA DENIS MTIMA/GPL

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.