Kama ingekuwa ni show ya comedy
tungesema sawa, jamaa wako location.. au ingekuwa movie pia isingekuwa
story kwa sababu jamaa yuko kwenye kazi yake !!
Sio movie wala comedy,
jamaa mmoja amejikuta akibeba headlines kwenye mtandao wa youtube, watu
wanagonga likes na kushare na watu wao kipande cha video
kinachomuonesha yuko ndani ya treni ya abiria London Uingereza, busy
kabisa na mswaki wake huku akisoma gazeti.
Unaambiwa baada ya jamaa kushuka, kila
mtu alijikuta akiangua kicheko huku mwenyewe akiendelea na mambo yake
mtaani bila kujali lolote.
Video yake hii hapa, jamaa wa pembeni alimredoki kwa simu ya mkononi.

Note: Only a member of this blog may post a comment.